Kipindi
cha pili dakika ya 52 Karim Benzema na kufanya 3-2 nao Schalke 04
kusawazisha bao kupitia kwa Leroy Sane dakika ya 57 na kufanya 3-3 Agg
ikiwa 5-3 kiujumla. Dakika ya 84 Klaas Jan Huntelaar aliifungia bao la
nne Schalke 04 na kufanya bao kuwa 4-3 Agg kuwa 5-4.
Ronaldo akiwa aamini kile kilichotokea Uwanjani baada ya kufungwa bao 4-3 na bao la Ugenini kuwabeba!
Bao..Klaas Jan Huntelaar
Cristiano Ronaldo alipoisawazishia bao dakika ya 45
Cristiano Ronaldo anaisawazishia bao Real Madrid bao kwa kichwa baada ya kupigwa kona katika dakika ya 25 kipindi cha kwanza.
VIKOSI: Real Madrid wanaoanza XI: Casillas, Coentrao, Varane, Pepe, Arbeloa, Khedira, Kroos, Isco, Bale, Ronaldo, Benzema
Akiba: Navas, Marcelo, Hernandez, Nacho, Modric, Jese, Illarramendi
Schalke wanaoanza XI: Wellenreuther, Howedes, Matip, Nastasic, Hoger, Neustadter, Fuchs, Barnetta, Meyer, Choupo-Moting, Huntelaar
Akiba: Wetklo, Uchida, Kaan Ayhan, Sobottka, Goretzka, Sane, Kehrer

0 maoni:
Chapisha Maoni