.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumamosi, 21 Machi 2015

Tagged Under:

FULL TIME: MANCHESTER CITY 3 vs 0 WEST BROM

By: Unknown On: Jumamosi, Machi 21, 2015
  • Share The Gag

  • Wilfried Bony dakika 27 aliipatia bao la kwanza City na kufanya 1-0 baada ya kulishwa mpira na Fernando. Dakika ya 40 Fernando aliwapatia bao la pili City na kufanya bao kuwa 2-0 dhidi ya West Brom Albion. 
    Dakika ya 77 David Silva anaipatia bao la 3 City na kufanya bao kuwa 3-0.Kadi nyekundu kwa Gareth McAuley imewafanya wacheze pungufu West Brom Alibion katika kipindi cha kwanza dakika ya 2 ikiwa ni baada ya kuangushwa chini mchezaji mpya wa City Wilfried Bony.VIKOSI:
    Manchester City XI:
    Zabaleta, Kompany, Mangala, Clichy, Navas, Fernando, Lampard, Silva, Bony, Aguero
    West Brom XI: Myhill, Dawson, McAuley, Olsson, Lescott, Baird, Morrison, Gardner, Fletcher, Sessegnon, Berahino.
     
    0 comments

    0 maoni:

    Chapisha Maoni