.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumamosi, 14 Machi 2015

Tagged Under:

FULL TIME: CRYSTAL PALACE 3 vs 1 QPR

By: Unknown On: Jumamosi, Machi 14, 2015
  • Share The Gag

  • Dakika ya 42 Joel Wardalipachika tena bao la tatu na kuwaua zaidi QPR kwa kufanya 3-0 baada ya kupata mpira kutoka kwa Wilfried Zaha bao hilo lilihitimisha kipindi cha kwanza Crystal Palace wakienda mapumziko Vifua wazi kwa bao 3-0 kwenye Uwanja wao wa Nyumbani Selhurst Park, London wakiongozwa na Mwamuzi L. Mason.

    James McArthur dakika ya 40 alipachika bao la pili na kufanya 2-0 baada ya kulishwa mpira na Yannick Bolasie.

    W. Zaha kawapachikia bao mapema dakika ya 21 na kufanya 1-0 dhidi ya QPR

    VIKOSI:
    Crystal Palace starting XI: Speroni, Ward, Delaney, Dann, Kelly, McArthur, Ledley, Puncheon, Zaha, Bolasie, Murray
    Subs: Hennessey, Hangeland, Maiappa, Souare, Ameobi, Sanogo, Gayle
    QPR starting XI: Green, Furlong, Caulker, Onouha, Suk-Young, Wright-Phillips, Sandro, Henry, Phillips, Taarabt, Austin
    Subs: McCarthy, Hill, Kranjcar, Hoilett, Vargas, Zamora, Grego-Cox

    0 maoni:

    Chapisha Maoni