Jumatatu, 16 Machi 2015
Tagged Under:
Baadhi ya Wachezaji wa Chelsea akiwemo Terry wakiwa vichwa chini baada ya kugawana pointi na Sant'sMpaka dakika zinayoyoma ilikuwa ni 1-1John Terry akiwa hoi!!Dakika ya 19 Southampton walisawazisha bao kwa penati kupitia kwa Mchezaji wao Dusan Tadic na kufanya 1-1. 1-1Dusan Tadic hakufanya makosa!Kipindi
cha pili pamoja na kwamba kilikuwa cha kushambuliana hakuna aliyeliona
lango la Mwenzake. Chelsea wakiwakosa kosa mara kadhaa Saint's.John Terry hapa alikosa bao wazi..Hapa ni England Diego Costa!!Chelsea Chupuchupu wapate bao hapa...mpira uligonga nguzoKashikashi
ilitokea ndani ya eneo hatari la penati na Southampton mchezaji wake
kuangusha na hatimae kupata penati na kusawazisha kwa mkwaju huo wa
penati kupitia kwa Dusan Tadic.Kipindi cha kwanza dakika 11 Diego Costa aliipatia bao kwa kichwa Chelsea na kufanya 1-0 dhidi ya Southampton.
CHELSEA 1 vs 1 SOUTHAMPTON
By:
Unknown
On: Jumatatu, Machi 16, 2015
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 maoni:
Chapisha Maoni