.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Alhamisi, 17 Septemba 2015

Tagged Under:

HAWA MGAMBO WANGEMTOA 'ROHO' MGOSI PALE MKWAKWANI ASEE!!

By: Unknown On: Alhamisi, Septemba 17, 2015
  • Share The Gag


  • Mgambo Shooting ni kati ya timu zinazocheza soka la nguvu yaani kazikazi.


    Katika mechi ya jana, Mgambo ikiwa nyumbani ililala kwa mabao 2-0 katika mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga.

    Lakini wachezaji wa Mgambo walikuwa wakicheza kazikazi kweli na mfano mzuri walivyokuwa wakimgaragaza nahodha wa Simba, Mussa Hassan Mgosi mara kwa mara.



    Wakati Simba walilalamika Mgambo kucheza kindava, Yanga nao walilalamika kwamba Prisons walitaka kuwaumiza kwa makusudi kwa kucheza zaidi ya kazikazi.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni