3-2
Kipigo
hicho, na ushindi wa PSV Eindhoven wa Bao 2-1 dhidi ya CSKA Moscow,
kumezifanya Wolfsburg na PSV kufuzu kwenda Raundi ya Mtoano ya UCL na
Man united kumaliza Nafasi ya 3. Hii ni mara ya kwanza kabisa kwa Wolfsburg kucheza Raundi ya Mtoano ya UCL.
Naldo akipeta...
Huko
Santiago Bernabeu, Cristiano Ronaldo alifunga Bao 4, Karim Benzema
kupiga 3 na moja la Mateo Kovacic na kuwapa ushindi Real wa Bao 8-0 toka
Kundi A. Real, na PSG, ambao wameshinda 2-0 walipocheza na Shakhtar Donetsk zote zimesonga na Shakhtar itakwenda EUROPA LIGI.
Man City, ambao walikuwa washafuzu toka Kundi D, Leo wameichapa Borussia Mönchengladbach 4-2 na kumaliza kileleni mwa Kundi hilo na kufuatiwa na Juventus ambao Leo walifungwa 1-0 na Sevilla ambao wamemaliza Nafasi ya 3 na hivyo kwenda EUROPA LIGI.
Van Gaal akipagawa baada ya kutupwa nje
Naldo ndiye aliyepeleka kilio baada ya kufunga bao la tatu kwa Wolfsburg
Naldo akitupia kwa kichwa mpira wa kona
Akitupia bao la pili
Mata akishangilia bao
Man United wakipongezana...
Akishangilia bao
1-1
Raha ya kufunga bao!
Kikosi cha Man United
Van Gaal
Mwenyekiti!
Sir Alex Ferguson
Sir Bobby
Mapema kabla ya Mechi walipokuwa wanapasha
0 maoni:
Chapisha Maoni