.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumanne, 8 Desemba 2015

Tagged Under:

FA CUP: LEO DROO YA RAUNDI YA 3, TIMU KUBWA KUANZA RAUNDI HII!

By: Unknown On: Jumanne, Desemba 08, 2015
  • Share The Gag


  • DROO ya Raundi ya 3 ya Kombe kongwe Duniani, FA CUP, ambalo sasa linaitwa Emirates FA Cup kwa sababu za kiudhamini, itafanyika Leo na kuzihusisha Klabu za Ligi Kuu England na Daraja la Championship ambazo huanzia hapa. Droo ya Leo, ambayo itafanyika huko Sport Wales National Centre Mjini Cardiff, itahusisha Timu 64 na Mechi zake kuchezwa kati ya Ijumaa Januari 8 na Jumatatu Januari 11.
    Arsenal ndio Mabingwa Watetezi baada ya kulitwaa Kombe hili kwa mara ya pili mfululizo Mwezi Mei Mwaka huu.
    Droo ya Raundi
    Timu zilizopo na Namba za Droo:

    1 AFC Bournemouth
    2 Arsenal
    3 Aston Villa
    4 Birmingham City
    5 Blackburn Rovers
    6 Bolton Wanderers
    7 Brentford
    8 Brighton & Hove Albion
    9 Bristol City
    10 Burnley
    11 Cardiff City
    12 Charlton Athletic
    13 Chelsea
    14 Crystal Palace
    15 Derby County
    16 Everton
    17 Fulham
    18 Huddersfield Town
    19 Hull City
    20 Ipswich Town
    21 Leeds United
    22 Leicester City
    23 Liverpool
    24 Manchester City
    25 Manchester United
    26 Middlesbrough
    27 Milton Keynes Dons
    28 Newcastle United
    29 Norwich City
    30 Nottingham Forest
    31 Preston North End
    32 Queens Park Rangers
    33 Reading
    34 Rotherham United
    35 Sheffield Wednesday
    36 Southampton
    37 Stoke City
    38 Sunderland
    39 Swansea City
    40 Tottenham Hotspur
    41 Watford
    42 West Bromwich Albion
    43 West Ham United
    44 Wolverhampton Wanderers
    45 Bradford City
    46 Newport County
    47 Peterborough United
    48 Portsmouth
    49 Eastleigh
    50 Northampton Town
    51 Exeter City
    52 Doncaster Rovers
    53 Grimsby Town or Shrewsbury Town
    54 Yeovil Town
    55 Bury
    56 Carlisle United
    57 Leyton Orient or Scunthorpe United
    58 Wycombe Wanderers
    59 Colchester United
    60 Chesterfield or Walsall
    61 Sheffield United
    62 Salford City or Hartlepool United
    63 Dagenham & Redbridge or Whitehawk
    64 Oxford United

    0 maoni:

    Chapisha Maoni