
Raheem
Sterling alifunga bao mbili na kutengeneza mabao mengine Manchester
City walipoichabanga bao 4 kwa 2 Borussia Monchengladbach_ 4-2 na kukaa
kileleni kwenye Group D.
Raheem Sterling akishangilia moja ya bao lake
Kolarov kwenye patashika baada ya kutupwa nje ya Uwanja na kuangukia kwa waandishi wa Habari
Hatari tupu!!!
Chupuchupu!!
Borussia Monchengladbach nao wakishangilia bao lao moja wapo
Silva akishangilia bao lake la kwanza
Kikosi cha Man City
0 maoni:
Chapisha Maoni