.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumamosi, 5 Desemba 2015

Tagged Under:

LEICESTER CITY KILELENI!

By: Unknown On: Jumamosi, Desemba 05, 2015
  • Share The Gag



  • Leicester United wamepaa kileleni mwa Ligi Kuu England baada ya kuichapa Swansea City Bao 3-0 kwa Hetitriki ya Riyad Mahrez.
    Arsenal, ambao waliishinda Sunderland 3-1, wakishika Nafasi ya Pili huku waliokuwa Vinara City wakishuka hadi Nafasi ya 3 baada kuchapwa 2-0 na Stoke City na Man United kwenda Nafasi ya 4 baada kutoka 0-0 na West Ham.
    Bao za Arsenal zilifungwa na Joel Campbell, Olivier Giroud, ambae pia alijifunga mwenyewe na kuipa Sunnderland Bao lao, na la 3 kupigwa na Aaron Ramsey.
    Baada ya Matokeo haya ya Leo kwa Timu za juu, Leicester sasa ni Vinara wakiwa na Pointi 32 wakifuatiwa na Arsenal wenye Pointi 30 na kisha Man City na Man United zenye Pointi 29 kila mmoja.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni