Willian akishangilia bao lake baada ya kuifunga Timu ya FC Porto ikiwa ni bao la pili
Jose Mourinho chini akiendesha mapambano ya kuwakumbusha wachezaji wake 
Willian alifunga bao la pili kwa shuti kali
Diego Costa akipongezwa na Hazard
Diego aliachia shuti kali ambalo lilizaa bao la kujifunga wao wenyewe FC Porto mbele ya Mlinda mlango wao Casillas.
0 maoni:
Chapisha Maoni