.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatatu, 9 Februari 2015

Tagged Under:

YAMOTO BAND WATEMBELEA ZURII HOUSE OF BEAUTY NA KUKABIDHIWA TICKET ZAO TAYARI KWA SAFARI YA KUELEKEA LONDON

By: Unknown On: Jumatatu, Februari 09, 2015
  • Share The Gag

  • Kutoka kushoto Enock, Maromboso, Beka na Aslay wakiwa wameshikilia ticket zao za ndege ambazo walikabidhiwa rasmi na mkurugenzi wa Zurii house of Beauty Jestina George Meru.

    Yamoto Band wanatarijiwa kufanya Live show kwenye jiji London siku ya tarehe 21.02.2015 katika ukumbi wa Royal Regency Banguet Hall

    Zuri House of Beauty CEO Jestina George Meru akiwa kwenye picha ya pamoja na timu nzima ya Yamoto Band

    Kama kawaida Ukitembelea Zurii House of Beauty huondoki mkono mtupu

    0 maoni:

    Chapisha Maoni