.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Ijumaa, 20 Februari 2015

Tagged Under:

MOSES BUSHANGAMA "MEZ B" AFARIKI DUNIA SIKU YA LEO

By: Unknown On: Ijumaa, Februari 20, 2015
  • Share The Gag


  • Mwanamuziki Moses Bushangama maarufu kama Mez B amefariki dunia. Mez B alikuwa mmoja wa wanamziki wanaounda kundi la Chamber squard,amefariki leo mjini Dodoma, habari hizi zimethibitishwa na mama yake mzazi.
    R.I.P Mez B

    0 maoni:

    Chapisha Maoni