.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatatu, 16 Februari 2015

Tagged Under:

DIONIZ MALINZI ASIMIKWA UKAMANDA WA VIJANA MKOA WA KAGERA

By: Unknown On: Jumatatu, Februari 16, 2015
  • Share The Gag

  • Mh. Dioniz Malinzi "Ekikaka"Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye alimvisha Joho na kofia Kamanda wa vijana mkoa wa Kagera Dioniz Malinzi.
    Mh Dioniz Malinzi(katikati) akiteta na Ndugu Yahaya Kateme(kulia) wakati akisimikwa
    Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akimkabidhi mkuki Kamanda wa vijana mkoa wa Kagera Dioniz Malinzi wakati wa kumsimika kwenye uwanja wa Uhuru Platform maarufu kama uwanja wa Mayunga.

    Baadhi ya Viongozi wakishuhudia Tukio hilo wakiwa meza kuu.
    Kundi la Saida Karoli likitumbuiza...




    Mtoto Amina Mbaraka Chilusadi aliyekuwa akicheza pamoja na Saida Karoli akifanya mambo yakeAkicheza ngoma safi  kutoka kwa Saida na kundi lake zima
    Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akimtuza Mtoto Amina Mbaraka Chilusadi aliyekuwa akicheza pamoja na Saida Karoli.
    Saida Karoli akitumbuiza wakati wa sherehe hizo za usimikwaji wa kamanda wa vijana Dioniz Malinzi kwenye uwanja wa Uhuru,Mayunga Bukoba mjini.Mtoto Amina Mbaraka Chilusadi  akipewa zawadi na Viongozi baada ya kucheza vyema Ngoma iliyokuwa inatumbuizwa wakati huo wa Kumsimika Kamanda Dioniz Malinzi
    Mbunge wa Bukoba Mjini akiteta jambo na Wananchi wake Bukoba katika Mkutano wa Kumsimika Kamanda wa Mkoa Bw. Dioniz MalinziWatu kumsikiliza Mbunge wao Kagasheki ilikuwa Furaha tupu!! Na hapa wakampokea kwa sana
    Mkuu wa Mkoa Kagera(kushoto)Mh. John MongellaKatibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wananchi wa Bukoba mjini kwenye uwanja wa Uhuru Platform kwenye sherehe za usimikwaji wa Kamanda wa Vijana mkoa wa Kagera Dioniz Malinzi.Wananchi waliojitokeza wakiunga jambo Vijana Makamanda(CCM) wakishuhudia zoezi hilo kwa makini

    0 maoni:

    Chapisha Maoni