.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Ijumaa, 6 Februari 2015

Tagged Under:

SKYLIGHT BAND WAENDELEA KUTOA BURUDANI YA NGUVU JIJI DAR, NI IJUMAA HII TENA‏

By: Unknown On: Ijumaa, Februari 06, 2015
  • Share The Gag

  • Binti mwenye sauti ya kumtoa Nyoka pangoni, Ashura Kitenge akiimba kwa hisia kali mbele ya mashabiki wa Skylight Band(hawapo pichani) ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar

    Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 akiimba uku akipewa support ya nguvu na Binti mwenye sauti ya kumtoa Nyoka pangoni, Ashura Kitenge( wa kwanza kushoto), Sam Mapenzi (wa pili kutoka kulia) pamoja na John Music ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar…


    Binti mwenye sauti ya kumtoa Nyoka pangoni, Ashura Kitenge akiimba kwa hisia kali mbele ya mashabiki wa Skylight Band(hawapo pichani) ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar

    Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 akiimba uku akipewa support ya nguvu na Binti mwenye sauti ya kumtoa Nyoka pangoni, Ashura Kitenge( wa kwanza kushoto), Sam Mapenzi (wa pili kutoka kulia) pamoja na John Music ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar

    Sony Masamba akiendelea kuimba masebene ya nguvu huku akipewa support na Majembe ya Skylight Band yaliyojimwaga kwenye stage

    Binti mwenye sauti ya kumtoa Nyoka pangoni, Ashura Kitenge akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar es Salaam Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti na Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 pamoja na Kisura mwingine wa Skylight Band anayefamika kwa jina la Baby.
    Tukutane baadae tupunguze stress za wiki nzima kwa burudani iliyoenda shule na sehemu ya watu wastaarabu kama kawaida na mtonyo wetu ule ule getini.

    Msanii wa Skylight Band Joniko akiendelea kutoa burudani huku vijana wa Skylight Band wakitimua vumbi jukwaani wakiongozwa na Sony Masamba ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar

    0 maoni:

    Chapisha Maoni