.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatano, 11 Februari 2015

Tagged Under:

WASHINDI AIRTEL YATOSHA ZAIDI WAKABIDHIWA MAGARI

By: Unknown On: Jumatano, Februari 11, 2015
  • Share The Gag

  • Mkurugenzi wa masoko wa Airtel bw. Levi Nyakundi (kushoto) akimkabidhi mmoja kati ya washindi wa promosheni ya Yatosha Zaidi bi. Mwajabu Omary leo katika makabidhiano yaliyofanyika katika ofisi za makao makuu ya Airtel Tanzania. Anayeshuhudia (katikati) Mkurugenzi wa wa kitengo cha Mawasiliano bi Beatrice Singano Mallaya .Airtel imekabidhi magari matatu katika hafla hiyo.
    KAMPUNI Ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania leo asubuhi imekabidhi magari kwa washindi watatu wa kwanza wa promoseni ya Yatosha Zaidi.
    Hafla hiyo fupi ya kuvutia ilifanyika Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam na kushuhudiwa na waandishi wa habari, wafanyakazi wa Airtel na wageni waalikwa kadhaa.
    Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel Levi Nyakundi aliwaomba washindi kuendelea kutumia mtandao wa Airtel kwani kwa sasa wao ni sehemu ya familia ya kampuni hiyo.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni