.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Alhamisi, 12 Februari 2015

Tagged Under:

CHELSEA 1 vs 0 EVERTON

By: Unknown On: Alhamisi, Februari 12, 2015
  • Share The Gag

  • 1-0Willium (kushoto) akiomba baada ya kuipa bao la Ushindi Chelsea katika dakika ya 89 ya Mchezo kati yao na Everton.Referee Jonathan Moss speaks with Chelsea playersWillian aliipachikia Chelsea bao katika dakika za lala salama dakika ya 89 na kumaliza Mchezo dakika 90 Chelsea wakiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Everton. Ushindi huu unaipaisha zaidi Chelsea Kileleni wakiwa na pointi 59.Patashika!!Cuadrado alianza kipindi cha kwanza leo Nemanja Matic of Chelsea marshals Romelu Lukaku of EvertonVIKOSI:
    Chelsea: Cech, Ivanovic, Zouma, Terry, Azpilicueta, Ramires, Matic, Cuadrado, Willian, Hazard, Remy.
    Akiba: Luis, Fabregas, Ake, Drogba, Courtois, Cahill, Loftus-Cheek.
    Everton: Howard, Coleman, Stones, Jagielka, Oviedo, Besic, Barry, Lennon, Naismith, Barkley, Lukaku.
    Akiba: Robles, Gibson, Kone, Mirallas, McCarthy, Garbutt, Alcaraz.
    Mwamuzi: Jonathan Moss


    Chelsea vs Everton:

    0 maoni:

    Chapisha Maoni