.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Ijumaa, 6 Februari 2015

Tagged Under:

RATIBA LIGI KUU ENGLAND JUMAMOSI HII FEB 6, 2015: TOTTENHAM vs ARSENAL, MAN CITY vs HULL, ASTON VILLA vs CHELSEA, EVERTON v LIVERPOOL.

By: Unknown On: Ijumaa, Februari 06, 2015
  • Share The Gag
  • Jumamosi kesho kwenye Ligi Kuu England, Mechi ya kwanza kabisa ya Ligi huko White Hart Lane, Wenyeji Tottenham wataikaribisha Arsenal kwenye Dabi ya London ya Kaskazini na Mechi hii licha ya kuwa ni Dabi pia ina ushindani wake wa kulilia kuwemo 4 Bora kwani Arsenal wako Nafasi ya 5 wakiwa Pointi 2 mbele ya Tottenham walio Nafasi ya 6.
    Mechi ya mwisho kwa Siku ya Jumamosi ni ile Dabi ya Merseyside Jijini Liverpool Uwanjani Goodison Park ambako Everton wataikaribisha Liverpool.
    Katikati ya Dabi hizo mbili zipo Mechi 5 za Ligi zikiwemo ile ya Vinara wa Ligi Chelsea wakiwa Ugenini huko Villa Park kucheza na Aston Villa na Mabingwa Watetezi Man City kuwa Nyumbani Etihad kucheza na Hull City.
    Jumapili zipo Mechi 3 za Ligi na mojawapo ni ile ya Uwanjani Upton Park wakati West Ham watakapoikaribisha Man United ambao wako Nafasi ya 3 kwenye Ligi.
    LIGI KUU ENGLAND
    RATIBA:
    Jumamosi Februari 7

    15:45 Tottenham vs Arsenal
    18:00 Aston Villa vs Chelsea
    18:00 Leicester vs Crystal Palace
    18:00 Man City vs Hull
    18:00 QPR vs Southampton
    18:00 Swansea vs Sunderland
    20:30 Everton vs Liverpool
    Jumapili Februari 8
    15:00 Burnley vs West Brom
    17:05 Newcastle vs Stoke
    19:15 West Ham vs Man United

    Jumanne Februari 10
    22:45 Arsenal vs Leicester
    22:45 Hull vs Aston Villa
    22:45 Sunderland vs QPR
    23:00 Liverpool vs Tottenham
    Jumatano Februari 11
    22:45 Chelsea vs Everton
    22:45 Man United vs Burnley
    22:45 Southampton vs West Ham

    22:45 Stoke vs Man City
    23:00 Crystal Palace vs Newcastle 

    23:00 West Brom vs Swansea

    0 maoni:

    Chapisha Maoni