.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatano, 29 Juni 2016

Tagged Under:

Yaliyosemwa na Rais Magufuli kuhusu ugunduzi wa gesi ya Helium nchini Tanzania

By: Unknown On: Jumatano, Juni 29, 2016
  • Share The Gag


  • June 28 2016 ziliripotiwa taarifa kuwa watafiti kutoka chuo kikuu cha Oxford na kile cha Durham kwa ushirikiano na wataalamu wa madini kutoka Norway wamegundua uwepo wa takriban futi bilioni 54 za hifadhi kubwa zaidi duniani ya gesi adimu zaidi ya Helium nchini Tanzania.
    Leo June 29 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli kupitia account yake ya tweeter amepost akizungumzia ugunduzi huo huku akitoa wito kujipanga katika eneo la mikataba…….

    0 maoni:

    Chapisha Maoni