.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Alhamisi, 30 Juni 2016

Tagged Under:

Mkubwa Fella aeleza faida za Mkubwa na Wanae ndani ya miaka mitano….

By: Unknown On: Alhamisi, Juni 30, 2016
  • Share The Gag

  • Meneja wa kituo cha kusimamia wasanii ‘Mkubwa na Wanae’ Said Fella ameelezea ndani ya miaka mitano kituo chake kimefanya kitu gani kwenye tasnia ya Bongo Fleva na mabadiliko yaliyoonekana.
    Mpaka sasa hivi Mkubwa na wanae ina miaka mitano na kuna vitu vingi vilivyofanyika na watu wanaona,  nimekuwa na kituo ambacho kinakuza wasanii na watu wananipa hongera, kikubwa kwenye suala la kukusanya wasanii mpaka kuwaongeza lazima kutakuwa na changamoto cha msingi kujua wapi pa kuanzia na pa kuelekea’- Mkubwa Fella

    0 maoni:

    Chapisha Maoni