.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatano, 29 Juni 2016

Tagged Under:

Harmonize kayaongea haya kuhusu kujifunza lugha

By: Unknown On: Jumatano, Juni 29, 2016
  • Share The Gag

  • Mkali wa Bongo fleva, Harmonize ambaye ni msanii wa kwanza kusainiwa kwenye lebo ya Diamond Platnumz (WCB), amekaa kwenye interview hii na Millard Ayo na amezungumzia kuhusu kujiendeleza zaidi katika masuala ya lugha, Harmonize amesema…
    >>>’Kuna mwalimu pale ofisini WCB anafundisha lugha lakini kuiongea lugha kabla haujaijua vizuri si kitu kizuri kiiungwana, kuna mwalimu pale special kabisa  kwa sababu msanii yoyote wa WCB kwa sababu tunahitaji kutanua mziki wetu ufike tuwe na market ya nje pia’
    >>>’hatuwezi kuwa na biashara ya nje, unawezaje kuwa na biashara nje na wakati international language hauwezi kuiongea, inakuwa ni vigumu kwa hiyo tunajaribu na management ililiona hilo mapema na likaishughulikia kuna mwalimu pale anatufundisha lugha vizuri tu‘- Harmonize

    0 maoni:

    Chapisha Maoni