.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Alhamisi, 30 Juni 2016

Tagged Under:

Rapper Darasa mbele ya waandishi wa habari June 30, 2016….

By: Unknown On: Alhamisi, Juni 30, 2016
  • Share The Gag

  • Rapper kutoka Bongoflevani, Darasa anayetamba na wimbo uitwao Kama  Utanipenda aliyomshirikisha Rich Mavoko , sasa leo June 30, 2016 alikutana na waandishi wa habari kwaajili ya kuzinduzi single yake mpya iitwayo Too Much.
    Wimbo huo mpya umeandaliwa kwenye kipindi cha miezi sita iliyopita kupitia studio ya Mr. T Touch na kwenye upande wa video mikono ya director Hanscana imehusika.
    Akizungumza mbele ya waandishi wa habari alisema…’Kila iitwayo leo katika kazi zangu nikiifanya bora zaidi ya jana nashukuru watanzania wamenielewa kazi zangu, sasa leo niwaletea kitu kipya cha ‘Too Much’ ambacho nimefanyia hapa bongo, nimefanikiwa kuufanya muziki wangu kuwa wa tofauti katika ladhaa zake, mtihani wangu ndiyo huu kwa shabiki’Darasa

    0 maoni:

    Chapisha Maoni