.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatatu, 27 Juni 2016

Tagged Under:

Majambazi waliotikisa Mwanza na Tanga wauawa

By: Unknown On: Jumatatu, Juni 27, 2016
  • Share The Gag
  • Katika matukio ya mauaji yaliyotikisa Tanzania hivi karibuni ni pamoja na tukio la mauaji ya watu wanane Tanga na mengine yaliyofanyika msikitini mkoani Mwanza.
    Leo June 2016 Jeshi la polisi Dar es salaam kupitia kwa Kamishna wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam, Simon Sirro ametoa taarifa ya kuuwawa kwa majambazi wawili wanaodaiwa kuhusika na matukioa hayo.
    Sirro amesema jeshi hilo limemuua jambazi sugu aliyejulikana kwa jina la Salum Mhangwa aliyedaiwa kuhusika na mauaji msikitini mkoani Mwanza na kufanya matukio ya kiuhalifu, jambazi huyo alikutwa na bomu la kurusha kwa mkono.
    Jeshi hilo pia limemuua jambazi sugu aliyedaiwa kuhusika na mauaji ya watu nane mkoani Tanga ambaye alikuwa anatumia silaha kali kama bomu la kurusha kwa mkono na bastola ambavyo alikutwa navyo

    0 maoni:

    Chapisha Maoni