.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumanne, 11 Novemba 2014

Tagged Under:

AIRTEL YAZINDUA HUDUMA MPYA YA AIRTEL MONEY TIMIZA MJINI DODOMA

By: Unknown On: Jumanne, Novemba 11, 2014
  • Share The Gag


  • Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa (wa nne kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (wa tatu kulia), Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Dk. Rehema Nchimbi (wa tatu kushoto), Katibu Tawala wa mkoa wa Dodoma, Rehema Madenge, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano (wa pili kulia), Mkurugenzi wa Biashara wa Airtel, Arindam Chakrabarty (kulia) wakipiga makofi baada ya kuzindua rasmi huduma mpya ya Airtel Money Timiza, katika viwanja vya Nyerere Square, mjini Dodoma jana.

    Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa (wa tatu kushoto) akipongezana na Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (wa tatu kulia) baada ya kuzindua rasmi huduma mpya ya Airtel Money Timiza mjini Dodoma jana. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Dk. Rehema Nchimbi, Katibu Tawala wa mkoa wa Dodoma, Rehema Madenge (wa pili kushoto), Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano (wa pili kulia) na Mkurugenzi wa Biashara wa Airtel, Arindam Chakrabarty (kulia).

    Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa (kushoto) akizungumza jambo wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Money Timiza katika viwanja vya Nyerere Square, mjini Dodoma jana.

    Sehemu ya umati wa watu wakifuatilia uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Money Timiza katika viwanja vya Nyerere Square, mjini Dodoma jana.

    Meneja Uendeshaji kutoka kampuni ya Airtel Tanzania,Bwa.Asupya Naligingwa akitoa maelekeo mafupi namna ya kutumia huduma hiyo mpya ya Timiza wakati wa uzinduzi rasmi wa huduma mpya ya Airtel Money Timiza, katika viwanja vya Nyerere Square, mjini Dodoma jana.

    Pichani kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso akizungumza jambo wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Money Timiza katika viwanja vya Nyerere Square, mjini Dodoma jana. Kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano.

    Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa (kushoto) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Money Timiza katika viwanja vya Nyerere Square, mjini Dodoma jana. Kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano.

    Pichani shoto ni Mmoja wa Waimbaji mahiri wa bendi ya muziki wa dansi ya Africans Star a.k.a Twanga Pepeta,Msafiri Diof akiwa sambamba na skwadi zima la madansa wa bendi hiyo wakitumbuiza mbele ya sehemu ya umati wa watu wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Money Timiza,uliofanyika katika viwanja vya Nyerere Skwea, mjini Dodoma mwishoni mwa wiki.

    Mmoja wa Waimbaji mahiri wa bendi ya muziki wa dansi ya Africans Star a.k.a Twanga Pepeta,Msafiri Diof akitumbuiza mbele ya sehemu ya umati wa watu wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Money Timiza,uliofanyika katika viwanja vya Nyerere Skwea, mjini Dodoma mwishoni mwa wiki.

    Bendi ya Twanga Pepeta wakiwa na wadau wengine wa Airtel katika Picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi



    Sehemu ya umati wa watu wakifuatilia uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Money Timiza katika viwanja vya Nyerere Square, mjini Dodoma jana

    .Kikundi cha Ngoma za asili kutoka mjini Dodoma kikitumbuiza wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Money Timiza katika viwanja vya Nyerere Square, mjini Dodoma jana.

    baada ya huduma ya Airtel Money Tmiza kuzinduliwa,zikifuata shangwe kutoka kwa wageni waalikwa kama hivi pichani.

    Pichani shoto ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Dk. Rehema Nchimbi akijimwaya mwaya jukwaani wakati wa uzinduzi rasmi huduma mpya ya Airtel Money Timiza, katika viwanja vya Nyerere Square, mjini Dodoma jana.pichani kati ni Katibu Tawala wa mkoa wa Dodoma, Rehema Madenge.


    Sehemu ya umati wa watu wakifuatilia uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Money Timiza katika viwanja vya Nyerere Square, mjini Dodoma jana.

    Baadhi ya Wasanii kutoka nyumba ya vipaji THT,wakitumbuiza mbele ya sehemu ya umati wa watu (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Money Timiza,uliofanyika katika viwanja vya Nyerere Squea, mjini Dodoma mwishoni mwa wiki.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni