.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatano, 31 Desemba 2014

Tagged Under:

MOTO WA BURUDANI KUWAKA COCO BEACH MWAKA MPYA

By: Unknown On: Jumatano, Desemba 31, 2014
  • Share The Gag

  • Wapenzi wa burudani ya muziki wa kizazi kipya watapata burudani ya fungua mwaka kutoka kwa magwiji wa muziki wa kizazi kipya ambao wanatamba nchini katika tamasha la wazi la maisha murua na Vodacom katika ufukwe wa Coco beach jijini Dar es Salaam.Baadhi ya magwiji hao ni Profesa J,Temba,Chege,Roma Mkatoliki na wengineo wengi.
    Tamasha hili litakalokutanisha magwiji wa bongo fleva ambalo limeanza kuwa gumzo la jiji kutokana na kuwa na burudani za aina mbalimbali kwa ajili ya kukonga nyoyo za wapenzi wa burudani limeandaliwa na Vodacom Tanzania.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni