.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatatu, 22 Desemba 2014

Tagged Under:

JOKATE ASAINI MKATABA WA THAMANI YA SH8.5 BILIONI NA KAMPUNI YA KICHINA

By: Unknown On: Jumatatu, Desemba 22, 2014
  • Share The Gag

  • Jokate na Guoxun wakionyesha mikataba baada ya kusaini

    Jokate na Guoxun wakibadilishana mikataba baada ya kusaini.

    Jokate Mwegelo akizungumza katika hafla hiyo

    Afisa Mtendaji mkuu wa kampuni ya Rainbow Shell Craft Company Limited (CEO), Deng Guoxun akuzungumza katika hafla hiyo

    Jokate akiteta jambo na Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa kwenye hafla hiyo

    Wageni mbalimbali waalikwa wakishughudia hafla hiyo

    Meya wa Manispaa ya Ilala akiteta jambo na Mbunge wa Viti maalum (CCM) Mariam Kisangi katika hafla hiyo.

    Dar es Salaam. Mbunifu mavazi, Miss Tanzania wa namba mbili 2006, mwanamuziki na muigizaji wa filamu, Jokate Mwegelo amesaini makubaliano yenye thamani ya Sh8.5 billion na kampuni ya Kichina, Rainbow Shell Craft Company Limited kwa ajili ya kuzalisha na kuuza bidhaa mbalimbali za lebo yake ya Kidoti.Makubaliano hayo yalisainiwa leo kwenye hotel ya Serena baina ya Jokate na Afisa Mtendaji mkuu wa kampuni ya Rainbow Shell Craft Company Limited (CEO), Deng Guoxun.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni