.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumanne, 9 Desemba 2014

Tagged Under:

DIAOMOND USIPIME ANOGESHA SHEREHE YA UHURU DMV

By: Unknown On: Jumanne, Desemba 09, 2014
  • Share The Gag


  • Prezida wa Wasafi Diamond Platnumz akiwa pamoja na wacheza showa wake Roma Tonsa na Moses Iyobo wakitoa burudani katika kunogesha sherehe ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara iliyofanyika Sheraton Hotel ya Silver Spring, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na mashabiki wake kutoka kila pembe ya Marekani huku mashabiki wengine wakitokea Tanzania, Picha na Vijimabo Blog

    Mzuka unazidi kupanda Diamond Platnumz asaula koti lake.

    Balozi akimshukuru Diamond kwa kuwezesha kunogesha usiku wa Uhuru wa Tanzania na pia aliwashukuru wadhamini wa sherehe hiyo ya moaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara.

    Diamond akizidi kuwapa burudani mashabiki wake

    Shabiki akicheza wimbo wa mdogo mdogo

    Shabiki akijumuika na Diamond kwenye jukwaa.






    0 maoni:

    Chapisha Maoni