Wababe msimu wa 2013
DROO ya kupanga Makundi ya AFCON 2015, Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika imefanyika huko Malabo Nchini Equatorial Guinea.
Wenyeji Equatorial Guinea wako Kundi A
pamoja na Congo-Brazzaville, Gabon na Burkina Faso na wao ndio
watacheza Mechi ya ufunguzi hapo Januari 17 dhidi ya Congo-Brazzaville. Mechi ya Fainali ya Mashindano haya itafanyika hapo Februari 8.
KUNDI A Equatorial Guinea
Congo-Brazzaville
Gabon
Burkina Faso
KUNDI B Zambia
DR Congo
Cape Verde
Tunisia
KUNDI C Ghana
Senegal
South Africa
Algeria
KUNDI D Ivory Coast
Guinea
Cameroon
Mali
Equatorial Guinea mwenyeji mwezi Januari.
0 maoni:
Chapisha Maoni