2-0 Wolverhampton Wanderers wanaongoza dhidi Liverpool
Liverpool
bado wako nyuma ya bao 1-0. Wolverhampton Wanderers tayari wanaongoza
bao dhidi ya Liverpool kwa bao la dakika ya 1 la Richard Stearman.
2-0 Wolverhampton Wanderers wanaongoza dhidi Liverpool
Liverpool
bado wako nyuma ya bao 1-0. Wolverhampton Wanderers tayari wanaongoza
bao dhidi ya Liverpool kwa bao la dakika ya 1 la Richard Stearman.
MENEJA
wa Arsenal Arsene Wenger amefungiwa Mechi 4 na kutwangwa Faini ya Pauni
25,000 na FA, Chama cha Soka England, kwa Kosa la Utovu wa Nidhamu
alipopatikana na hatia ya kumkashifu Refa na pia kumsukuma Refa
Msaidizi.
Mechi nyingine atakazozikosa ni zile za EPL, Ligi Kuu England dhidi ya Watford, Chelsea na Hull City.
Klopp afanya mabadiliko 9 kwenye kikosi chake leo wakikaribia muda mchache ujao kuumana na Wolverhampton Wanderers
RAUNDI ya 4 ya Kombe Kongwe Duniani, FA CUP,
imeanza kwa Sare ya 2-2 wakati Timu ya Daraja la chini Derby County
ikiwa Nyumbani kwao ilipowavaa Mabingwa wa England Leicester City.
Nyingine ni huko White Hart Lane kati ya Tottenham Hotspur na Wycombe Wanderers. 
MECHI
za Robo Fainakli za AFCON 2017, Mashindano ya 31 ya Fainali za Kombe la
Mataifa ya Afrika, zitaanza Jumamosi Januari 29 kwa Mechi 2 kati ya
Burkina Faso na Tunisia na kufuatia ile ya Senegal na Cameroon.
Beki wa Sunderland Papy Djilobodji amefungiwa Mechi 4 baada ya kukutwa na hatia ya kucheza kwa fujo.
Shirikisho
la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limemshukuru Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli kwa kuridhia
kufunguliwa tena Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Ameeleza: “Zipo dili kadhaa lakini hazijakamilika.”
Kwa
mara nyingine tena Refa Jon Moss amemkwaruza Meneja wa Manchester
United Jose Mourinho baada ya maamuzi yake kwenye Mechi ya Pili ya Nusu
Fainali ya EFL CUP hapo Jana kumkera Mreno huyo wakati Hull City
ikiifunga Man United 2-1.
Akihojiwa
baada ya Mechi hiyo, Mourinho alionyesha kukerwa na Refa Jon Moss
alieamua Marcos Rojo alimsukuma Harry Maguire na kutoa Penati.
Mourinho na Historia yake na Refa Jon Moss:

‘Ili
Producers wa Kibongo waweze kubadilisha Tunes kwa beats zao na
waendelee kutisha KULIKO JANA nawaomba wasanii wenzangu muweke utaratibu
wa kusafiri nao mnavyotoka nje ya Afrika Mashariki wakienda, wakiona,
wakijifunza na kujiongeza LAZIMA TUTATISHA SANA‘ – AY
‘Nimeona
sana Afrika Magharibi wana hesabu hizo ndio maana wana Tunes za kila
aina,Tuna Producers wazuri sana ila wanahitaji kusafiri zaidi,Mfano
mzuri ni @majani187 @nahreel@hermyb na @marcochali wamepata exposure ndio maana wana Tunes Unique all the time #ZEE – @AyTanzania kwenye Instagram
1-1
Juan Mata kawapa zawadi Stoke City dakika ya 19 ya kipindi cha kwanza.
Mata
kajifunga bao dakika ya 19 na kuwapa zawadi Stoke City kipindi cha
kwanza. mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika United 0 Stoke City 1.
Man United kwenye harakati za kupunguza pengo na kusonga mbele...


Ligi Kuu England
MANCHESTER
City sasa wameruhusiwa kumtumia Staa Mbrazil wa Miaka 19 Gabriel Jesus
kwenye Mechi yao ya EPL, Ligi Kuu England, ya kesho Jumamosi dhidi ya
Tottenham Hotspur.
Kinda
huyo ndio kwanza amechomoza kwenye Soka la Dunia akiwa na Msimu wa Pili
tu na Palmeiras lakini akaiongoza Klabu hiyo kutwaa Ubingwa wa Taifa
Mwezi Novemba baada ya kutwaa Medali ya Dhahabu akiichezea Brazil kwenye
Michezo ya Olimpiki, RIO 2016, Mwezi Julai.


Copyrights @ 2014, Gagism Blogger Template - Designed By Templateism | ProBloggerTricks Back to Top