.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumanne, 5 Januari 2016

Tagged Under:

Wakati Man United na Chelsea ikiwaza namna ya kupata saini ya Pep Guardiola, kutana na pichaz zake akitalii Kenya …

By: Unknown On: Jumanne, Januari 05, 2016
  • Share The Gag


  • Kocha wa klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani Pep Guardiola December 29 aliingia kwenye headlines baada ya kutua Kenya kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu ya Christimas na mwaka mpya, ujio wake Kenya uliwashangaza wengi kutokana na kuja kimya kimya. Ninazo pichaz za Pep Guardiola akitalii Kenya wakati ambao vilabu vya Chelsea na Man United vikitajwa kwa kiasi kikubwa kumuhitaji kocha huyo kwa ajili ya msimu ujao.
    CXyZFP-WYAAvYTJ
    Lakini Man City wanatajwa kuingia nae mkataba wa awali. Pep Guardiola ambaye aliwahi kuifundisha klabu ya FC Barcelona na sasa FC Bayern Munich ya Ujerumani amethibitisha kuwa hatoendelea kuifundisha Bayern Munich baada ya msimu kumalizika, hivyo wengi wanasubiria ataenda kuifundisha klabu gani baada ya FC Bayern Munich?
    1919039_621862621288508_8491208548875364896_n
    CXuOrMiWYAArySp
    CXuOumqWMAASXK9

    0 maoni:

    Chapisha Maoni