.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatatu, 4 Januari 2016

Tagged Under:

RATIBA, WAFUNGAJI NA MSIMAMO WAKE LIGI KUU ENGLAND: WEST HAM v LIVERPOOL KUFUNGUA MWAKA MPYA 2016 KESHO JUMAMOSI!

By: Unknown On: Jumatatu, Januari 04, 2016
  • Share The Gag

  • Ligi Kuu England inaanza Mwaka Mpya 2016 kwa Mechi za Jumamosi Januari 2 na Mechi ya kwanza kabisa ni huko Upton Park kati ya West Ham na Liverpool.
    Hadi sasa kila Timu kwenye Ligi hiyo imecheza Mechi 19 ambazo ni nusu ya Mechi zao zote na hivyo Mechi za sasa ni kuanza kwa Raundi ya Pili ya Ligi hiyo ambayo Msimu huu imekuwa haitabiriki.
    Mbali ya Mechi hiyo ya West Ham ambao wako Nafasi ya 8 na Liverpool ambao ni wa 7 wakipishana kwa Pointi 1 tu, Saa 12 Jioni zitafuata Mechi 6 ambazo Vinara wa Ligi, Arsenal, wakiwa Nyumbani kucheza na Newcastle, Leicester City, wanaofungana kwa Pointi na Arsenal, kuwa Nyumbani kuivaa Bournemouth na pia Man United kuwa kwao Old Trafford kucheza na Swansea City, Timu ambayo imeifunga Man United ya Van Gaal Mechi 3 zilizopita za Ligi, zote kwa Bao 2-1.
    Mechi nyingine za Saa 12 ni zile za Norwich v Southampton, Sunderland v Aston Villa na West Brom v Stoke.
    Jumamosi Januari 2 itakwisha kwa Mechi ya Watford kuwakaribisha Man City.
    Jumapili zipo Mechi mbili kati ya Crystal Palace na Chelsea na kisha Everton kucheza na Tottenham.
    LIGI KUU ENGLANDRATIBA
    Jumamosi Januari 2

    15:45 West Ham v Liverpool
    18:00 Arsenal v Newcastle
    18:00 Leicester v Bournemouth
    18:00 Man United v Swansea
    18:00 Norwich v Southampton
    18:00 Sunderland v Aston Villa
    18:00 West Brom v Stoke
    20:30 Watford v Man City

    Jumapili Januari 3
    16:30 Crystal Palace v Chelsea 

    19:00 Everton v Tottenham 

    MSIMAMO WAKE ULIVYO KWASASA BAADA YA KUFIKIA NUSU.
    Barclays Premier League
    PosLogo &TeamPWDLGDPts
    1ArsenalArsenal1912341539
    2Leicester CityLeicester City1911621239
    3Manchester CityManchester City1911351736
    4Tottenham HotspurTottenham Hotspur199821835
    5Crystal PalaceCrystal Palace19946731
    6Manchester UnitedManchester United19865630
    7LiverpoolLiverpool19865030
    8West Ham UnitedWest Ham United19784529
    9WatfordWatford19856429
    10Stoke CityStoke City19856129
    11EvertonEverton19685726
    12SouthamptonSouthampton19667324
    13West Bromwich AlbionWest Bromwich Albion19658-623
    14ChelseaChelsea19559-620
    15Norwich CityNorwich City19559-1020
    16BournemouthBournemouth19559-1220
    17Swansea CitySwansea City19478-819
    18Newcastle UnitedNewcastle United194510-1517
    19SunderlandSunderland193313-1912
    20Aston VillaAston Villa191513-198


    WAFUNGAJI WANAOONGOZA MPAKA SASA 'TOP 5' 
    Rank Name Club Goals
    1 Jamie Vardy Leicester 15
    1 Romelu Lukaku Everton 15
    3 Odion Ighalo Watford 14
    4 Riyad Mahrez Leicester 13
    5 Harry Kane Spurs 11

    0 maoni:

    Chapisha Maoni