Mbele ya Mashabiki 70,720, Barcelona iliinyuka Granada
Bao 4-0 kwa Bao 3 za Lionel Messi na 1 la Neymar, na kuchukua uongozi wa
La Liga.DAKIKA ya 58 kipindi cha pili dakika ya 58 na bao la nne lilifungwa na Staa mwingine Neymar dakika ya 83 na mtanange kumalizika 4-0 dhidi ya Granada.
Lionel
Messi kafunga yote mawili katika kipindi cha kwanza, Akifunga bao la
kwanza dakika ya 8 na bao la pili akilifunga dakika ya 14 na kufanya
Timu yakke kuwa mbele ya bao 2-0.
Ushindi
huu, ambao ni Mechi ya kiporo, umewaweka Barca kileleni wakiwa Pointi 1
mbele ya Atletico Madrid na Pointi 5 mbele ya Real huku zote zikicheza
Mechi 18.
0 maoni:
Chapisha Maoni