.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Ijumaa, 8 Januari 2016

Tagged Under:

FIFA LISTI YA UBORA DUNIANI: 20 BORA ZILEZILE, TANZANIA YAPANDA JUU NAFASI 6, BELGIUM BADO INATESA!

By: Unknown On: Ijumaa, Januari 08, 2016
  • Share The Gag

  • www.bukobasports.comBelgium imebaki Nambari Wani kwenye FIFA Listi ya Ubora Duniani iliyotolewa Leo huku Tanzania ikipanda Nafasi 6.
    20 Bora imebaki vilevile bila mabadiliko huko Mabingwa wa Dunia, Germany, wakiwa Nafasi ya 4.
    Tanzania sasa ipo Nafasi ya 126 baada ya kupanda Nafasi 6 toka Mwezi uliopita.
    Kwa Afrika, Timu ya juu kabisa kwenye Listi ya Ubora ni Ivory Coast ambayo ipo Nafasi ya 19.

    "TOP 20" BORA:
    1. Belgium
    2. Argentina
    3. Spain
    4. Germany
    5. Chile
    6. Brazil
    7. Portugal
    8. Colombia
    9. England
    10. Austria
    11. Uruguay
    12. Switzerland
    13. Ecuador
    15. Italy
    16. Romania
    17. Wales
    18. Croatia
    19. Côte d'Ivoire
    20. Hungary

    0 maoni:

    Chapisha Maoni