Arsenal Jack Wilshere atakuwa nje ya Uwanja kwa Miezi Mitatu baada ya kufanyiwa operesheni ya enka yake hii Leo. Wilshere aliumia Jumamosi iliyopita wakati Arsenal inachapwa Bao 2-1 na Manchester United Uwanjani Emirates.
Habari hizi za operesheni ya Wilshere zimethibitishwa na Arsenal na mwenyewe Wilshere aliposti Picha yake Mtandaoni akiwa Kitandani baada ya kufanyiwa hiyo operesheni.
Kukosekana
kwa Wilshere ni pigo kubwa kwa Arsenal ambayo sasa imekumbwa na
Majeruhi wengi baada ya pia Jumatano kupoteza Wachezaji wawili walioumia
kwenye Mechi ya Kundi lao la UEFA CHAMPIONS LIGI walipoifunga Borussia
Dortmund Bao 2-0. Wachezaji hao wawili ni Nahodha wao Mikel Arteta na Yaya Sanogo ambao watakuwa nje kwa muda abao unaweza kufikia hata Wiki 6.
Majeruhi
wengine wa Arsenal ni Mesut Özil, Theo Walcott, Danny Welbeck, Mathieu
Debuchy, Abou Diaby, Wojciech Szczesny na David Ospina. Kuhusu balaa hilo, Meneja wa Arsenal Arsene Wenger ameeleza: “Hali hii ya majeruhi ni tatizo kwani tuna Mechi nyingii.”




Wolfsburg
wao Jumapili watakuwa Nyumbani kuiva Borussia Monchengladbach ambao
wako Nafasi ya 3 wakiwa Pointi 3 nyuma yao. Vigogo Borussia Dortmund,
ambao Msimu huu wameporomoka vibaya kwenye Bundesliga wakiselelea Nafasi
ya 16 ikiwa ni Nafasi ya 3 toka mkiani, Jumapili wako Ugenini kuivaa
Eintracht Frankfurt ambayo iko Nafasi ya 12 wakiwa Pointi 4 mbele ya
Dortmund.
Messiakifikisha bao 74 usiku huu na kuvunja rekodi ya Raul
Messi akishangilia bao lake baada ya kutupia hat-trick na kuvunja rekodi ya Raul.
Wachezaji wa Chelsea wakipongezana baada ya kuisambaratisha Schalke 04
Kocha Roberto Di Matheo wa Schalke
Fundi na mbwembwe zake!!
Kikosi kilichoanza cha Chelsea
Bao!!!

3-2

Aguero dakika ya 22 kipindi cha kwanza anaifungia bao la kwanza kwa mkwaju wa penati.