PepGurdiola mwenye umri wa miaka 45 ambaye ametia kandarasi ya miaka mitatu ,amesema kuwa alipendelea kusalia kuifunza Bayern Munich,lakini alitaka mtihani mwengine katika ukufunzi wake.
Raia
huyo wa Uhispania amekiri kwamba alikuwa na kila alichohitaji wakati
alipokuwa Barcelona ,lakini akakana kuwa huenda anakabiliwa na kibarua
kigumu katika klabu ya Manchester City.''Niko hapa kuthibitisha kuwa ninaweza kuchezesha soka nzuri vilevile nimekuwa nikicheza'',alisema.
Alipoulizwa
iwapo anaweza kuanzisha mtindo mzuri wa tiki-taka kama ule wa
Barcelona, alisema Guardiola:''Hiyo ndio sababu niko hapa''.Aliongezea:''Sijawahi kucheza wakati wa siku kuu ya Boxing Dei.Sijawahi kuwa katika uwanja wakati ambapo kuna upepo mkali na baridi na uwanja sio mzuri.Ni lengo langu. Nataka kuwathibitishia'

0 maoni:
Chapisha Maoni