.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumanne, 5 Julai 2016

Tagged Under:

Mabasi mawili yagongana leo na kusababisha vifo Singida

By: Unknown On: Jumanne, Julai 05, 2016
  • Share The Gag

  • Taarifa za awali ambazo zimeripotiwa hivi punde ni kuhusu ajali iliyohusisha mabasi mawili, Kamanda polisi mkoa wa Singida, Thobias Sedoyeka amesema ajali ya basi namba T 531 BCE likitokea Dar es salaam kwenda Kahama na T 247 lililokuwa linatoka kahama kwenda Dar es salaam yote ya kampuni moja ya City Boys yamegongana uso kwa uso na kusababisha vifo vya watu 24 papo hapo na wengine kadhaa kujeruhiwa.
    IMG-20160704-WA0027
    .
    IMG-20160704-WA0026 IMG-20160704-WA0028 IMG-20160704-WA0029 IMG-20160704-WA0031 IMG-20160704-WA0033 IMG-20160704-WA0036 IMG-20160704-WA0038

    0 maoni:

    Chapisha Maoni