.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Ijumaa, 8 Julai 2016

Tagged Under:

JURGEN KLOPP AWEKA KANDARASI YA MIAKA 6 NA LIVERPOOL

By: Unknown On: Ijumaa, Julai 08, 2016
  • Share The Gag

  • Mkufunzi wa Liverpool Jurgen Klopp ameweka kandarasi mpya ya miaka sita na mmiliki wa klabu hiyo akisema ingekuwa makosa kutompatia kandarasi ndefu.
    Klopp alijiunga na Liverpool mnamo mwezi Oktoba ,baada ya kukubali mkataba wa pauni milioni 15 ambao umeongezwa hadi mwaka 2022.
    ''Uongozi wake utakuwa muhimu katika kufanikisha malengo yetu'',  alisema mmiliki wa Liverpool.

    Klopp aliifikisha Liverpool katika fainali ya League Cup pamoja na fainali ya Europa League msimu uliopita.

    Raia huyo wa Ujerumani mwenye umri wa miaka 49 aliisaidia Borussia Dortmund kushinda mataji mawili ya Bundesliga pamoja na kucheza fainali ya vilabu bingwa Ulaya 2013.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni