.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Ijumaa, 1 Julai 2016

Tagged Under:

Uwanja wa Taifa usitarajie kuingia bure tena baada ya mechi ya Yanga vs TP Mazembe

By: Unknown On: Ijumaa, Julai 01, 2016
  • Share The Gag

  • Bado headlines za  mechi kati ya Dar es Salaam Young Africans dhidi ya TP Mazembe iliyochezwa uwanja wa Taifa Dar es Salaam na kumalizika kwa Yanga kupoteza kwa goli 1-0 inazidi kuchukua headlines, kutokana na kitendo cha Yanga kuamua mechi hiyo mashabiki waingie bure uwanjani.
    Kitendo hicho cha Yanga ambacho kinatajwa kuhatarisha maisha ya mashabiki waliojitokeza na miundombinu ya uwanja, shirikisho la soka Tanzania TFF limetangaza kupitia Rais wake Jamal Malinzi kuwa, kuanzia sasa mechi zote za kimataifa hazitoratibiwa  tena na vilabu, kitendo ambacho kinatafsiriwa kama hakutatokea tena mashabiki kuruhusiwa kuingia bure uwanjani.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni