.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatano, 14 Desemba 2016

Tagged Under:

UEFA CHAMPIONS LIGI DROO RAUNDI YA MTOANO: REAL MADRID vs NAPOLI, BAYERN vs ARSENAL, PSG vs BARCELONA

By: Unknown On: Jumatano, Desemba 14, 2016
  • Share The Gag

  • DROO ya Raundi ya Mtoano ya UEFA CHAMPIONS LIGI imefanyika huko Nyon, Uswisi na Mabingwa Watetezi Real Madrid kupangwa kucheza na Napoli.
    Arsenal ya England itacheza na Vigogo wa Germany wakati PSG ikiivaa FC Barcelona.
    Manchester Citi itaikwaa Monaco wakati Mabingwa wa England Leicester City wakicheza na Sevilla ya Spain.
    DROO KAMILI:
    Sevilla v Leicester
    PSG v Barcelona
    Leverkusen v Atletico Madrid
    Porto v Juventus
    Bayern Munich v Arsenal
    Benfica v Borussia Dortmund
    Real Madrid v Napoli
    Manchester City v Monaco
    Mechi za Raundi ya Mtoano ya Timu 16 za UCL zitachezwa Tarehe 14/15 na 21/22 Februari na Marudiano ni Tarehe 7/8 na 14/15 Machi.

    TAREHE MUHIMU:MECHI ZA MTOANO:
    14/15 na 21/22 Feb 2017: Raundi ya Mtoano ya Timu 16, Mechi ya Kwanza
    7/8 na 14/15 Machi 2017: Raundi ya Mtoano ya Timu 16, Mechi ya Pili
    11–12/04/17: Robo Fainali, Mechi ya Kwanza
    18–19/04/17: Robo Fainali, Mechi ya Pili
    02–03/05/17: Nusu Fainali, Mechi ya Kwanza
    09–10/05/17: Nusu Fainali, Mechi ya Pili
    03/06/17: Fainali (National Stadium of Wales, Cardiff)

    0 maoni:

    Chapisha Maoni