.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumamosi, 3 Januari 2015

Tagged Under:

RATIBA WIKIENDI HII JANUARI 3, 2015. FA CUP:

By: Unknown On: Jumamosi, Januari 03, 2015
  • Share The Gag

  • MABINGWA wa FA CUP, Arsenal, wanaanza utetezi wa Taji lao Wikiendi hii kwa kucheza Nyumbani Emirates na Hull City hilo likiwa pambano moja kati ya Matatu yanayohusisha Timu za Ligi Kuu England pekee kwenye Raundi ya Tatu.
    Mengine ya Timu za Ligi Kuu England pekee ni yale ya Tottenham kucheza Ugenini na Burnley na Leicester kukipiga na Newcastle.
    Msimu uliopita Arsenal walibeba FA CUP kwa kuitoa Hull City kwenye Fainali.
    Vinara wa Ligi Kuu England, Chelsea, wao wako Nyumbani Stamford Bridge kucheza na Watford, Timu ya Daraja la chini, Championship, wakati Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu England, Man City, pia wako kwao Etihad kucheza na Sheffield Wednesday ambayo pia ipo Daraja la chini.
    Vigogo Man United wao watakuwa Wageni wa Yeovil Klabu ya Ligi 1 ambalo ni Madaraja mawili chini ya Ligi Kuu England.

    Mara ya mwisho kwa Yeovil kukutana na Manchester United ni Mwaka 1949 walipobamizwa Bao 8-0.

    FA CUP
    RATIBA
    Ijumaa Januari 2

    22:45 Cardiff v Colchester

    Jumamosi Januari 3
    Zote Saa 12 Jioni

    Barnsley v Middlesbrough
    Blyth Spartans v Birmingham City
    Bolton v Wigan
    Brentford v Brighton
    Cambridge v Luton
    Charlton v Blackburn
    Derby v Southport
    Doncaster v Bristol City
    Huddersfield v Reading
    Fulham v Wolves
    Huddersfield v Reading
    Leicester v Newcastle
    Millwall v Bradford
    Preston v Norwich
    Rochdale v Nottm Forest
    Rotherham v Bournemouth
    Tranmere v Swansea
    West Brom v Gateshead

    Jumamosi Januari 4
    Zote Saa 10 Jioni

    Dover v Crystal Palace
    QPR v Sheff Utd
    Sunderland v Leeds

    Saa 12 Jioni
    Aston Villa v Blackpool
    Man City v Sheffield Wednesday
    Southampton v Ipswich
    Stoke v Wrexham
    18:30 Yeovil v Man United
    19:00 Chelsea v Watford
    20:30 Arsenal v Hull

    0 maoni:

    Chapisha Maoni