.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumamosi, 24 Septemba 2016

Tagged Under:

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE

By: Unknown On: Jumamosi, Septemba 24, 2016
  • Share The Gag

  • Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Spika wa Bunge Job Ndugai, wakati Spika alipofika kumsalimia, Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Septemba 24, 2016. Kushoto ni Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka. (Picha na Bashir Nkoromo).

    0 maoni:

    Chapisha Maoni