

Jonas Olsson dakika ya 64 aliipa bao West Brom Albion baada ya kutokea mpira wa Adhabu nje kidogo na box na kuachia shuti kali lililombabatiza mchezaji kwenye ukuta na kuzama moja kwa moja nyavuni mwa lango la Man United na kufanya 1-0.


Bao la ushindi la WBA lilifungwa Dakika ya 64 baada Frikiki ya Chris Brunt kumbabatiza Jonas Olsson na kutinga.
Man United walipata Penati Dakika ya 74 na Robin van Persie kupiga na Kipa Myhill kuokoa.















Manchester United wanaoanza: De Gea, Valencia, Smalling, McNair, Blind, Ander Herrera, Mata, Rooney, Fellaini, Young, Van Persie
MUFC akiba: Jones, Di Maria, Falcao, Januzaj, Valdes, Blackett, Pereira
West Brom wanaoanza: Myhill, Dawson, McAuley, Olsson, Lescott, Gardner, Yacob, Fletcher, Mulumbu, Brunt, Berahino
WBA akiba: Wisdom, Baird, Ideye, Anichebe, McManaman, Sessegnon, Rose
0 maoni:
Chapisha Maoni