
FC
Barcelona, wamepiga hatua kuweka tena Rekodi ya kutwaa Trebo baada ya
kutwaa Kombe la Mfalme, Copa del Rey, kwa kuitwanga Athletic Bilbao Bao
3-1 Uwanjani Nou Camp.
Baada ya kutwaa La Liga na sasa Copa del Rey,
Barca wana nafasi ya kubeba Mataji Matatu Msimu huu ikiwa wataifunga
Juventus kwenye Fainali ya UEFA CHAMPIONS LIGI itakayochezwa huko
Berlin, Germany Juni 6. 
Neymar katikati akishangilia bao lake la pili kwa Barca kwa kuruka juu!
Lionel Messi dakika ya 74 alifunga bao
la tatu na kufanya 3-0 dhidi ya Atletico Bilbao. Bao pekee la Atletico
kwenye hii Copa Del Rey limefungwa na Iñaki Williams dakika ya 80 na
mtanange huo kumalizika kwa 3-0, Barca wakiibuka na Ubingwa.
Messi akishangilia bao lake la kwanza dakika ya 20

Neymar dakika 36 kipindi cha kwanza aliifungia bao la 2-0.

Barcelona wakipongezana

Lionel Messi dakika ya 20

Mashabiki wa Barcelona

Mashabiki wawiti katikati ya msitu wa Bilbao!!! wako katikati ya Mashabiki wa Atletico Bilbao
0 maoni:
Chapisha Maoni