
Wachezaji wa Arsenal akiwemo Robert Pires wajifanya mazoezi yao tayari kwa Fainali ya kesho jumamosi dhidi ya Aston Villa kwenye FA Cup

Walcott anataraja kufanya vyema zaidi ya Olivier Giroud Wembley baada ya kupiga hat-trick dhidi ya West Bromwiki iliyopita.

Mesut Ozil akimiliki mpira

Meneja Arsene Wenger akimcheki kijana wake Alexis Sanchez wakati wa mazoezi huko London Colney

Danny Welbeck kuikosa Fainali hiyo ya FA Cup kesho jumamosi

Alexis Sanchez, Francis Coquelin na kushoto ni Mikel Arteta

Mathieu Debuchy karudi na hapa alikuwa akimkaba Theo Walcott

Walcott na Pires wakiteta jambo kwenye uwanja wao wa mazoezi wa London Colney

Santi Cazorla akikabwa na Laurent Koscielny pamoja na Francis Coquelin

0 maoni:
Chapisha Maoni