

Kepteni wa Juventus Giorgio Chiellini akiwa amebeba Kombe walilolitwaa usiku baada ya kuibuka na Ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Juventus.

Tangu 1995 na sasa wanalinyanyua kwa mara ya 10

Carlos Tevez na Roberto Pereyra wakiwa na Mwali wao kwenye chumba cha kubadilishia nguo


Juve sasa wanasonga mbele kukwaana na Barca kwenye Uefa Champions

Mbele ya Mashabiki!! Juve wakishangilia ushindi wao baada ya ukame

Alessandro Matri akipongezwa

Matri akitupia bao kwenye dakika za nyongeza huku kipute kikifika dakika ya 97

Mpaka na jezi alivua!

Juventus walimzunguka Matri kwa kuwapatia bao la ushindi kwenye Stadio Olimpico

2-1.
Juve Wamefanikiwa kutwaa Coppa Italia kwa mara yao ya 10 kulitwaa Kombe hili ambalo hawajalibeba tangu 1995 na imewafanya wawe wametwaa Dabo huku pia wakiwania Trebo, yaani Mataji Matatu, kwa vile pia Juni 6 watacheza Fainali ya UEFA CHAMPIONS LIGI na Barcelona huko Berlin, Germany.

0 maoni:
Chapisha Maoni