
Jumapili, 17 Mei 2015
Tagged Under:
Diamond
Platnumz akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Peter Kalage
katika Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza baada ya msanii huyo mwenye
jina kubwa Tanzania na Duniani kwa ujumla akiwa na timu yake
walipotembelea Ubalozi huo mjini London.
Diamond na vijana wake wakiiingia kwenye office za Ubalozi
WCB ndani ya mjengo
Mhe Balozi akimkaribisha Diamond
Diamond nae akimshukuru Mheshimiwa Balozi kwa mwaliko wake 


Diamond Akitia saini Kitabu cha wageni





























DIAMOND PLATNUMZ NA TIMU YAKE YA WCB WATEMBELEA UBALOZI LONDON
By:
Unknown
On: Jumapili, Mei 17, 2015

Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 maoni:
Chapisha Maoni