.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumanne, 9 Juni 2015

Tagged Under:

TASWIRA MBALI MBALI ZA ZIARA YA RAIS KIKWETE NCHINI UHOLANZI

By: Unknown On: Jumanne, Juni 09, 2015
  • Share The Gag




  • Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Uholanzi waliojitokeza kumlaki wakati akiwasili jijini The Hague, Uholanzi, leo Jumatatu Juni 8, 2015.

    Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo na muhtasari wa ziara yake toka kwa Balozi wa Tanzania nchini Uholani Mhe Wilson Masilingi baada ya kuwasili The Hague leo Jumatatu Juni 8, 2015.


    Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya mafuta ya Shell Bw. Ben van Beurden jijini the Hague, Uholanzi leo Jumatatu Juni 8, 2015.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni