Bao la Colombia lilifungwa na Lady Andrade (Colombia) dakika majeruhi dakika ya 90 na mtanange kumalizika kwa 2-1 England wakiibuka kidedea.
Jumatano, 17 Juni 2015
Tagged Under:
BAO
za England zimefungwa na Karen Carney kipindi cha kwanza dakika ya 15
na lile la mkwaju wa penati dakika ya 38 la Fara Williams na kwenda
mapumziko England wkiwa mbele ya bao 2-0 dhidi ya Wakolombia.
Bao la Colombia lilifungwa na Lady Andrade (Colombia) dakika majeruhi dakika ya 90 na mtanange kumalizika kwa 2-1 England wakiibuka kidedea.
Karen Carney akipongezwa baada ya kuifungia England bao la kwanza
WOMEN'S WORLD CUP: ENGLAND 2 vs 1 COLOMBIA, KAREN CARNEY NA FARA WILLIAMS WAIPA USHIND ENGLAND
By:
Unknown
On: Jumatano, Juni 17, 2015
Bao la Colombia lilifungwa na Lady Andrade (Colombia) dakika majeruhi dakika ya 90 na mtanange kumalizika kwa 2-1 England wakiibuka kidedea.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 maoni:
Chapisha Maoni