
Kiongozi
wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, Akifurahia mara baada ya kutua
Bukoba na tayari kuwahutubia wakazi wa mji wa Bukoba leo wakati wa
mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Mashujaa/Uhuru Platform Bukoba leo
Jumatatu tarehe 15 june, 2015. Kiongozi huyu ambaye amefuatana na
viongozi wenzake wa juu wa chama hicho, yuko kwenye ziara ya kukitangaza
chama na sera mpya ya azimio la arusha lenye usasa. Picha na Faustine
Ruta, Bukoba

Umati wa Watu wengi waliudhuria mkutano huo leo Jumatatu katika Uwanja wa Mashujaa mjini Bukoba

Kwa
mara ya kwanza Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameteta
na Wakazi wa Bukoba leo tangu ajiunge na Chama cha ACT.

Wimbo wa Taifa uliimbwa

Kulia ni msanii mkongwe wa Bongo Fleva nchini, Seleman Msindi 'Afande Sele' nae aliambatana na msafara huo mjini Bukoba.

Mkuu
wa Chama cha ACT Wazalendo Samson Mwigamba, akiwahutubia wakazi wa Mji
wa Bukoba leo wakati wa mkutano wa adhara kwa mara ya kwanza mjini
Bukoba leo
MSANII mkongwe wa Bongo Fleva nchini, Seleman Msindi 'Afande Sele'
akiteta na Wananchi mjini Bukoba wakati wa mkutano huo wa adhara katika
uwanja wa Uhuru Platform

Wananchi waliunga mkono jambo hapa!

Mwenyekiti
wa Chama cha ACT Wazalendo, Anna Mghira, akiwahutubia wakazi wa mji wa
Bukoba leo wakati wa mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Uhuru Platform
leo Jumatatu juni 15, 2015 Picha na Faustine Ruta, Bukoba

Wakazi wa mji wa Bukoba wakifuatilia mkutano huo wa hadhara kwa makini

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akiongea na wakazi wa Mji wa Bukoba leo Jioni jumatatu ya juni 15, 2015

Neno likakolea!

Wakazi wa mji wa Bukoba wakifuatilia mkutano huo kwa makini

Kwa makini wakimsikiliza Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe
0 maoni:
Chapisha Maoni