
Paul Scholes, Andy Cole wakifurahia pamoja na Louis Saha

Wimbo kabla ya Mechi

Manahodha wa Timu Paul Scholes na Paul Breitner wakiingia Uwanjani

Kikosi
cha Man United, akiwemo Paul Scholes, Edwin van der Saar, Dwight Yorke
na wengine kwenye mchezo uliowakutanisha Magwiji hao wa soka na kucheza
mchezo dhidi ya wajerumani Timu ya Bayern Munich(Magwiji) kwenye Uwanja
wa Old Trafford.

Andy Cole akichuana na Mchezaji gwiji wa Bayern Munich Daniel Van Buyten

Park Ji-Sung akituliza mpira kiuzuri

Luis Saha ndie aliyeifungia Man United bao la kwanza.
Kwenye Mechi ya Hisani iliyochezwa hii
Leo huko Old Trafford, Malejendari wa Manchester United wamewatwanga
wenzao wa Bayern Munich Bao 4-2 mbele ya Mashabiki 50,128.
Mwaka Jana kwenye Mechi kama hii iliyochezwa huko Allianz Arena Jijini Munich, Timu hizi zilitoka Sare ya 3-3.
Katika
Mechi ya Leo, Mabao ya Man United yalifungwa na Luis Saha, Dakika ya 9,
Dwight Yorke, 39, Andy Cole, 45, na Jesper Blomqvist, 83, wakati yale
ya Bayern yalifungwa na Zickler , Dakika ya16, na Tarnat, 42.
Luis saha akipongezwa na Andy cole

Mchezaji wa zamani wa Bayern Alexander Zickler akichuana na Jaap Stam

Paul Scholes akiendesha

Mchezaji wa zamani wa Bayern Alexander Zickler ndie aliyeipatia bao la kwanza Bayern Munich

Dwight Yorke aliipa bao la pili Man United na kufanya 2-1

Dwight Yorke akishangilia bao lake

Wakipongezana

Phille Neville akiachia shuti

Michael Tarnat aliifungia bao la pili Bayern Munich

Wakipongezana na Paulo Sergio

Michael Tarnat akifurahia bao lake

Ji Sung park akibanwa

Andy Cole lifunga la tatu

Scholes akifanya yake

Quinton Fortune akishangilia

Jesper dhidi ya Robert Kovac
0 maoni:
Chapisha Maoni