Tagged Under:
MANCHESTER CITY 0 vs 0 MANCHESTER UNITED, FELLAINI AONESHWA KADI NYEKUND WAKIUMALIZA BILA UBABE ETIHAD U
By:
Unknown
On: Alhamisi, Aprili 27, 2017
Maruane
Fellaini ameondeshwa kadi nyekundu baada ya kumpiga kichwa mchezaji wa
City Kun Aguero huku akiwa na kadi ya njano kipindi cha pili. Pia mchezo
huo uliomalizika bila ya kufungana kwa kutoka 0-0 umekuwa ni afueni kwa
Man United kwa kuendeleza mechi nyingi bila kufungwa msimu huu. Na huku
wakionekana kupanda kujihakikishia kuwa kwenye nafasi ya kugombea
nafasi ya nne bora ili kucheza Klabu Bingwa msimu ujao. 
VIKOSI:
MAN CITY: Bravo, Zabaleta, Kompany (C), Otamendi, Kolarov, Fernandinho, Yaya Toure, Sterling, De Bruyne, Sane, Aguero
Akiba: Caballero, Sagna, Fernando, Navas, Clichy, Gabriel Jesus, A. Garcia
MAN UNITED: De Gea, Valencia, Blind, Bailly, Darmian, Carrick, Herrera, Fellaini, Mkhitaryan, Martial, Rashford.
Akiba: Romero, Shaw, Fosu-Mensah, Tuanzebe, Young, Lingard, Rooney
0 maoni:
Chapisha Maoni